HEMED KUTOKA NA VIDEO MPYA SIKU YA VALENTINE


 Hemed Suleiman baada ya kuachia ngoma yake mpya mwaka jana inayokwenda kwa jina la Going Crazy kutoka B hits, sasa basi anatarajia rasmi kuachia video yake mpya siku ya tarehe 14 Valentine Day mwaka huu.Kaa tayari kwa ujio huu mpya kutoka kwa PHD.
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company