hakileo
Rais wa Jamhuri ya Comoro, Dk Ikililou Dhoinine,
akimkaribisha balozi wa heshima wa Comoro nchini Oman ambaye pia ni Mjumbe wa
Kamati ya Utendaji ya Simba, Rahma
Abdulrahman Al Kharoosi (Malkia wa Nyuki), katika Ikulu yake mjini Moroni. (Na
Mpiga Picha Wetu)