NSSF YAIWAAGA WAJUMBE WA BODI NA KUWAKARISHA WAPYA



Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk. Ramadhani Dau akizungumza wakati wa hafla ya kuwaaga wajumbe wa bodi waliomaliza muda wao na kuwakaribisha wapya katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.

Meneja Kiongozi,uhusiano huduma kwa wateja wa NSSF ,Eunice Chiume akimpongeza Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dk. Ramadhani Dau baada ya kuzutoa hotuba yake.

Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya NSSF iliyomaliza muda wake, Hirdegard Mziray akizungumza katika hafla hiyo.

Baadhi ya maofisa wa NSSF.

Meneja Kiongozi,uhusiano huduma kwa wateja wa NSSF, Eunice Chiume (kulia) akiwa makini wakati Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk. Ramadhani Dau alipokuwa akizungumza.

Mwenyeki wa bodi ya NSSF, Abubakar Rajab (kati) akifurahia jambo


Ofisa Uhusiano Kiongozi wa NSSF, Juma Kintu akizungumza wakati wa hafla hiyo.

Mwenyetiki wa Bodi, Abubakar Rajabu akiwaongoza wajumbe wa bodi ya NSSF kupata chakula cha jioni.


Wajumbe wakiendelea kupata chakula.




Meneja Kiongozi,uhusiano huduma kwa wateja wa NSSF ,Eunice Chiume akipata chakula.








Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk. Ramadhani Dau akimkabidhi zawadi Mwenyetiki wa Bodi ya NSSF, Abubakar Rajabu.

Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya NSSF iliyomaliza muda wake, Hirdegard Mziray akipokea zawadi yake kutoka kwa Dk. Dau.

Baadhi ya wajumbe wa bodi waliomaliza muda wao wakipokea zawadi zao.









Picha ya paamoja.









Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk. Ramadhani Dau akiwa na Makamu Mwenyekiti mpya wa bodi ya Wakurugenzi ya NSSF, Zuhura Muro na Meneja Kiongozi,uhusiano huduma kwa wateja wa NSSF,E unice Chiume (kulia)

Imewekwa na: Francis Dande Tarehe: 27.8.13 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook




FRANCIS MUTUNGI AKILA KIAPO CHA UTII


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi vitendea kazi Msajili mpya wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi Ikulu jijini Dar es salaam leo.

Jaji Mutungi akila kiapo

Picha ya pamoja.

Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company