Kongamano la tatu la maendeleo ya ushirikiano wa viwanda kati ya China na Afrika lafunguliwa hapa Beijing

Kongamano la tatu la maendeleo ya ushirikiano wa viwanda kati ya China na Afrika limefunguliwa leo hapa Beijing, na wajumbe zaidi ya 500 kutoka China na nchi za Afrika watafanya majadiliano kuhusu mustakabali wa maendeleo ya ushirikiano wa viwanda kati ya pande hizo mbili.

Katibu mkuu wa kongamano hilo Bw. Cheng Zhigang amesema, tangu lianzishwe, kongamano hilo limetoa ushauri kwa mashirika zaidi ya 500 ya China na Afrika, na kongamano la tatu litatoa mchango kwa ajili ya kutafuta fursa na njia mpya za ushirikiano kati ya China na Afrika.www.hakileo.blogspot.com
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company