Maana yake, Chelsea itahitaji ushindi mwembamba katika mchezo wa marudiano Uwanja wa Stamford Bridge, London dhidi ya timu iliyoitoa Barcelona katika Robo Fainali ili kutinga Fainali.
Chelsea leo ilimpoteza kipa wake wa kwanza Petr Cech mapema dakika ya 17 baada ya kuumia na nafasi yake kuchukuliwa na Schwarzer aliyemalizia vizuri mchezo.

11 wa ukweli: Kikosi cha Chelsea kilichotoa sare ya 0-0 ugenini na timu ngumu ya Atletico Madrid usiku huu