Chanel ya Tbc1 imetangaza kua imegunduliwa perfume yenye sumu na kuua nchini :- Iraq, Bahrein na Suudia, vilevile katika mji wa Alain (U.A.E), na Bremi nchini Oman. Watu 8 nchini Iraq wameshafariki dunia na wapatao 35 wapo hali mbaya. Tayari wameshagundua jina na muundo wa perfume hii yenye sumu na kuua, nayo inaitwa (LOVELY ) na baada ya uchunguzi imeonyesha kua athari yake haitokei mara baada ya kutumia (inapogusa sehemu ya mwili), bali inachukua siku 3-4 na inaweza kua ni kifo cha ghafla. Kwa usalama wako na uwapendao ieneze habari hii haraka sana.