Mwanasiasa kutoka Arusha Oscar Samba ametangaza kuingia rasimi kwenye siasa,taarifa hii ameitoa leo mjini Arusha.
TAARIFA KWA UMMA NA
OSCAR P SAMBA
Hakika ni
jambo la kumshukuru Mungu muumba Mbingu Nchi na Dunia kwani sio kwa uweza wangu
kufika hatua hii.
Kwa furaha
ya ajabu leo 5/5/2014 nautangazia umma wa Tanzania,Afrika na Dunia kwa ujumla
ya kwamba nimeingia Rasimi kwenye siasa kwa hatua ya utendaji ikiwa ni siku moja
baada ya kuchukuwa maamuzi haya katika hatua hii muhimu sana
Kwa muda
mrefu nilikuwa nikifanya shuhuliza hizi kama mchambuzi na mwanafunzi
niliyejifunza vitu kutoka kwa wanasiasa wenzangu walionitangulia na pia
nilikuwa nikiandaa mipango,sera, kanuni na falisafa zitakazo niongoza kwenye
fani hii muhimu.
Kaulimbiu
yangu kubwa ni HAKI,WAJIBU KWANZA.
Falisafa
yangu ni; IN THE TRUTH IS WHERE I HIDE
MY HEART, (KWENYE UKWELI NDIPO NILIPO UFICHA MOYO WANGU)
KIPAUMBELE CHANGU.
MASILAI YA HAKI YA WANACHI KWANZA.
MY ATTITUDE .
I HAVE BORN TO DELIVER MY PEOPLE FROM SUFFERRING
(NIMEZALIWA KUWAKOMBOA WATU WANGU KUTOKA KWENYE MATESO)
CHAMA NITAKACHOFANYA NACHO KAZI.
CHAMA CHA MAENDELEO NA DEMOKRASIA (CHADEMA)
MUONGOZO WANGU
Muongozo wangu mkubwa unatoka katika
KATIBA yangu ya KIMAISHA,kitabu cha KIROHO BIBILIA, na KATIBA halali ya nchi au
sehemu husika,TARATIBU sahihi na MILA na DESTURI nzuri za jamii yangu na jamii
nitakayo fanyanayo kazi.
Mawasiliano
yangu.