RAIS JAKAYA KIKWETE AFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU MKUU WA SHIRIKA LA KIMATAIFA LA USAFIRI WA ANGA( ICAO) WAKATI ALIPOMKARIBISHA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.

Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe akionge na Katibu Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO) Raymond Benjamin baada ya kutembelea katika ofisi za wizara ya uchukuzi jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Shirika la Usafiri wa Anga( ICAO) yupo nchini kwa Ziara ya kikazi kuanzaia Tarehe 14 hadi 18 mei 2014.
Rais Jakaya Kikwete akimkaribisha Katibu Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO) Raymond Benjamin Ikulu jijini Dar es Salaam, Katibu huyo yupo nchini kwa ziara ya Kikazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK. Jakaya Kikwete akiongea na Katibu Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO) Raymond Benjamin, wakati alipofika Ikulu jijini Dar es Salaam leo, Katibu huyo yupo nchini kwa ziara ya Kikazi kuanzia Mei 14 hadi 18 Mei 2014.
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya Pamoja na Katibu Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO) Raymond Benjamin, wakati alipofika Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ziara ya Kikazi kuanzia Mei 14 hadi 18 Mei 2014.Kushoto ni Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe, pamoja na viongozi wakuu wa TCAA.
Rais Jakaya Kikwete akiagana na mgeni wake Katibu Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO) Raymond Benjamin, baada ya kumalizika kwa maongezi yao ya kikazi yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam jana
CHANZO FULL SHANGWE
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company