Bwana Kerry alisema hayo Alhamisi katika mkutano na wanahabari mjini Kuala Lumpur, Malaysia, kuhusu mgogoro unaohusisha mataifa ya kusini mashariki mwa Asia.
waziri wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani, John Kerry, amezitaka pande zinazopingana katika mgogoro wa bahari ya “South China” kumaliza tofauti kwa kuzuia masuala ya kuhodhi ardhi, kijeshi, na ujenzi wa miradi katika eneo hilo.
Bwana Kerry alisema hayo Alhamisi katika mkutano na wanahabari mjini Kuala Lumpur, Malaysia, kuhusu mgogoro unaohusisha mataifa ya kusini mashariki mwa Asia.
waziri wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry akiwa kwenye mkutano Kuala , Lumpa Agosti 6,2015.
Katika majumuisho ya mkutano huo mjadala mkubwa ulihusu mgogoro wa eneo la bahari ya “South China” wakati mataifa ya kusini mashariki mwa Asia yalipojaribu kutoa kauli moja ya kumaliza mgogoro.
Utata wa ujenzi wa miradi ya China katika bahari ya “South Sea,” ambapo baadhi ya majirani zake wamekuwa wakipinga hatua hiyo, ulikuwa ni ajenda muhimu ya mkutano wa Kuala Lumpur.
TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
5 years ago