Ulinzi ukiwa umeimarishwa wakati msafara wa Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli ukitoka kwenye Uwanja wa Samora mjini Iringa baada ya mkutano wa kampeni kumalizika
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye ( wa pili kulia) akiwaongoza wasanii kupiga Push Up wakati wa mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Samora, mjini Iringa. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli (wa pili kushoto) akiwa na baadhi ya wasanii wanaomfanyia kampeni nchini kwa kutumia usafiri wa kibabaji wakati wa mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Samora, mjini Iringa(P.T)
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akijinadi kwa Wananchi wakati wa mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Samora, mjini Iringa
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akmsimamia Mgombea ubunge Jimbo la Kilolo kupitia CCM, Venance Mwamoto akifanya mazoezi ya Push Up wakati wa mkutano wa kampeni mjini Kilolo, Iringa.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Mama mkazi wa wa Ifunda akiwa makini kumsikiliza Dk Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni katika Mji wa Ifunda katika Jimbo la Kalenga.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM Iringa Vijijini, Shakila Kiwango akitabasamu baada ya kufurahishwa na hotuba ya Dk Magufuli katika Mji wa Ifunda, Jimbo la Kalenga.
Dk Magufuli akimnadi mgombea ubunge Jimbo la KIalenga kupitia CCM, Mgimwa wakati wa mkutano wa kampeni katika Mji wa Ifunda
Dk Magufuli akisalimiana na wazee wa kimila wa kabiloa la Wahehe wakati wa mkutano wa kampeni katika Mji wa Ilula Jimbo la Kilolo mkoani Iringa.
Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa kampeni uliohutubiwa na Dk Magufuli mjini Ilula
Dk Magufuli akijinadi wakati wa mkutano wa kampeni mjini Ilula
Dk Magufuli akipokea kadi za watu waliojiunga na CCM baada ya kuvihama vyama vyao jana mjni Ilula.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Malkia wa muziki wa Taarabu nchini Khadija Kopa akitumbuiza wakati wa mkutano wa kampeni mjini Iringa
Mjumbe wa Kamati ya Kampeni za CCM, William Lukuvi akitangaza wasifu wa mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni kwenye Uwanja Samora mjini Iringa.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akiwaeleza wananchi sababu zilizosababisha CCM kutomteua Lowasa kuwa mgombea urais kupitia CCM hasa kutokana na ufisadi wake
Nap akisisitiza jambo na kuwaomba wananchi kumuombea afya Mgombea urais kupitia Chadema, Edward Lowassa ili aje ashuhudie CCM ikishashinda urais
Nape akisalimiana na Dk Magufuli baada kuhutubia na kumpigia kampeni kwenye Uwanja wa Samora, Iringa
Mjumbe wa Kamati ya Kampeni za CCM, Abdalah Bulembo akimwombea kura Dk Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni
Dk Magufuli akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi ya CCM Mgombea ubunge Jimbo la Iringa, Frederick Mwakalebela wakati wa mkutano wa kampeni mjini Kilolo, Iringa
Dk Magufuli akiwaaga wananchi nje ya Uwanja wa Samora
TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
5 years ago