Madai makubwa ya wapinzani ni kuwa Rais Kenyatta ameshindwa kushughulikia masuala ya madai ya waalimu na kadhia ya rushwa ilitokithi nchini humo.
Rais Uhuru Kenyatta
Bunge la Kenya limefunguliwa tena Jumanne alasiri, huku wabunge wa Upinzani wakijiandaa kuwasilisha mswaada maalum wa kutokuwa na Imani na uongozi wa Rais Uhuru Kenyatta.
Madai makubwa ya wapinzani ni kuwa Rais Kenyatta ameshindwa kushughulikia masuala ya madai ya waalimu na kadhia ya rushwa ilitokithi nchini humo.
Itakumbukwa kwamba pamoja na mahakama ya viwanda kuwataka waalimu kurejea kazini nchini humo lakini , chama chjaop kiliwahamasisha kuendelea kubaki nyumbani hadi pale watakapolipwa mishahara yao.
TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
5 years ago