KAMA HUU NI CHOCHEZI POLISI NIKAMATENI,,KWA HILI LA UMEME KIKWETE NA CCM YAKO NI MIZIGO.

SERIKALI YA CCM IMEFILISIKA KIMAWAZO KWANI HAIINGI AKILINI KWA NCHI ILIYO SHEHENI VYANZO VYA NISHATI YA UMEME KAMA GESI,MAKAA YA MAWE NA HATA MAJI UPEPPO MAWIBI YA BAHARI KUWA NA BEI KAMA HIZI ZA UMEME HAKIKA NA CHELEA KUWA TABIRRI AKAMA YALIYO TOKEA KULE TUNISIA KWANI MWALIU WANGU MKUU WA SHULE YA SEKONDARI YA NGARENI NILIYOSOMA ALIWAI KUNIAMBIA KWAMBA KILA BINADAMU ANAMWISHO WAKE WA UVUMILIVU.

PIA IKUMBUKWE YA KUWA UPOLE WA PUNDA NDIO CHANZO CHA UTUMWA WAKE..KWELI CCM NI SAWA NA BATI BOVU AMBALO DAWA YAKE NI KULING'O NA KUWEKA JIPYA .SIONI HAJA KWA WANTANIA KUENDELEA KULIKARABATI BATI HILII.

ONA WALIVYO WASANII WAKASUBIRIA HADI BUNGE LIHAIRISHWE NDIPO WAKATANGAZA UOZO HUU.
HAKIKA CCM MMESHINDWA KULIENDESHA TAIFA,,KWA MTAJI HUU SIONI FAIDA YA KULIPA KODI WALA KUENDELEEA KUKUMBATIA UZALENDO USIO NINUFAISHA.
NI BORA KUTOKUWA NA SERIKALI KULIKO SERIKALI KAMA HIII LIYOSHEHENI VIIONGOZI MIZIGO NA WENYE FIKRA FINYU NA MAWAZO MGANDOOO..TAFADHALI TUMIENI AKILI ZENU KUWAKOMBOA WATANZANIA NA SIO KUWAKANDAMIZA...KWANZA MHOMGO KWELI NI  MUONGO NAE AJIUZULLUU HARAKA AFWATE PINDA ALIYEPINDDA KIMAWAZO NA UWEZO KISHSA KIKWETEE
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company