MADHALA YAKUVUTA SIGARA.


Kila sekunde nane, mtu mmoja hufariki kutokana na utumizi wa tumbako. Imebainika kuwa saba kati ya wavutaji sigara kumi, huanza uraibu huu wakiwa wangali watoto.
Wanaoendelea kuvuta sigara kwa muda mrefu hufupisha maisha yao kwa miaka 20 hadi 25. Sababu ni kuwa sigara ina kemikali zaidi ya 4,000 ambazo zina uwezo wa kudhhuru afya ya binadamu. Madhara yanayosababishwa na uvutaji sigara ni mengi na yamesambaa mwilini kote. Yafuatayo ni baadhi tu ya maradhi yatokanayo na utumiaji wa tumbako.

1.Kung’oka kwa nywele

2.Magonjwa ya macho

3.Kukunjana kwa ngozi

4.Magonjwa ya masikio

5.Saratani ya ngozi

6.Magonjwa ya meno

7.Magonjwa ya mapafu

8.Mifupa

9.Ugonjwa wa moyo

10.Vidonda vya tumboni

11.Vidole

12.Wanawake

13.Wanaume

14.Magonjwa ya ngozi

15.Ugonjwa wa ‘Buerger’

16.Saratani

Marejeleo
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company