
Fainali za michuano ya vijana kwa nchi za Maziwa Makuu, Rollingston zitafanyika Uwanja Karume, Dar es Salaam badala ya Azam Complex, Chamazi, kama ilivyoelezwa awali. Azam FC itamenyana na Twalipo katika fainali ya U17 kuanzia Saa 9:00 Alasiri, baada ya kumalizika kwa fainali ya U17.