
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi(CCM) wakicheza baada ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kukabidhiwa majina ya wanachama wa chama hicho zaidi ya 5000 waliomdhani kugombea Urais mkoani Simiyu. Leo Lowassa atakuwa mkoani Shinyanga Kusaka wadhamini.