
Hali sio nzuri katika mji wa Chake Chake, hii ni baada ya vijana wa CUF kuingilia barabarani wakidai wanashangilia ushindi wa mgombea wao wa Urais.
FFU wameingilia kati, wakatoa maonyo wakiwataka wananchi watawanyike lakini wakakaidi, ndipo nguvu ya ziada ya mabomu ya machozi ilipotumika



