MICHUANO YA MATAIFA HURU AFRIKA 2013

Michuano ya CAF 2013

 19 Januari, 2013 - Saa 21:28 GMT
Mechi ya kwanza ya fainali za kuwania kombe la mataifa ya Afrika imemalizika nchini Afrika Kusini, huku wenyeji Bafana Bafana wakitoka sare ya kutofungana bao lolote na Cape Verde
Angola imetoka sare ya kutofungana bao lolote na Morocco katika mechi ya pili ya mataifa ya Afrika nchini Afrika Kusini.
Angola imetoka sare ya kutofungana bao lolote na Morocco katika mechi ya pili ya kundi A ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika
Kesho na Mali kucheza na Niger
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company