HUU NI UNAFIKI ULIO WEKWA KWENYE FB YA CHADEMA LEO,,KWANI WAMESAHAU JINSI WANVYO MBUGUTHI ZITTO,,KWA COMENT YANGU NASEMA ONGERA ZITTO KWA KWENDA MAHAKAMANI,,
,,Chadema Chadema in Blood
Zitto! Zittoo! Zittoo! "Sasa nimeamini Zitto anatumiwa na CCM na Si Vinginevyo Kwa Sababu Zifuatazo: 1:Kama alihitaji Mambo haya yaishe Vizuri na arudishiwe Nyadhifa zake, alipaswa Kwenda Kuongea na Wenzake Friendly na Kuomba Msamaha na Mambo yangeisha Kama ambavyo angependa, bado alikuwa na nafasi nzuri ya Kuendelea Kuanza Kuaminiwa ndani ya Chama! 2:Kitendo cha Kwenda Mahakamani Kuzuia Kikao halali cha Chama ambacho anahisi Kinaweza Kumwadhibu ni Dalili tosha Zitto anatumiwa na Upande wa Pili. Kwenda Mahakamani Kunaonyesha hataki Suluhu ya Kawaida ila anachotaka ni Kuharibu Mambo, yaani ni Kama vile anasema Bora tukose Wote! 3:Zitto amekuwa na Kauli nyingi Mbalimbali ambazo zinatakiwa Kupimwa na Watanzania, aliwahi Kusema First Priority yake ni Kufundisha na Sio Siasa! Jana Wakati anahojiwa akasema yuko tayari Kuikubali hukumu ya Kamati Kuu. Lakini akasema amejiandaa Kisaikolojia Kwa ajili ya hukumu hiyo. Leo hii yuko Mahakamani Kuzuia Kikao halali Cha Chama Kisifanyike! Huyu Mtu hayuko sawa! Nawasilisha!"  www.hakileo.blogspot.com
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company