CHICHI MAWE AMKALISHA MKENYA RAUNDI YA PILI, KALAMA AMTWANGA MAOKOLA



Bondia Joshua Amukulu(kushotO) wa Kenya akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Fransis Miyeyusho wakati wa mpambano wao wa kufunga mwaka na kukaribisha mwaka uliofanyika katika ukumbi wa msasani klabu Dar es salaam Miyeyusho alishinda kwa K,O ya raundi ya pili na kuibuka mbabe katika mpambano huo. 


Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana kakonde na Mustafa Dotto wakati wa mpambano wao wa raundi sita kwa ajili ya kufunga mwaka king class mawe alishinda kwa pointi



Bondia Mustafa Dotto kushoto akioneshana umaili wa kutupiana makonde na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mpambano wao king class alishinda kwa point



Bondia Kalama Nyilawila kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makone na Ibrahimu Maokola wakati wa mpambano wao ulifanyika kwa ajili ya kufunga mwaka na kuukaribisha mwaka mpya Kalama alishonda kwa k,o ya raundi ya pili


Bondia Iddy Mnyeke kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Cosmas Cheka wakati wa mpambano wao wa kuuwaga mwaka na kuukaribisha mwaka mpya mpambano huo ulito droo
Chanzo: www.superdboxingcoach.blogspot.com
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company