KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA CCM (NEC) ZANZIBAR



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinnduzi,pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Wazee wa Chama cha Mapinduzi alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja jana, kuhudhuria katika Kikao cha Kamati Maalum ya CCM (NEC) kilichofanyika jana,(kushoto) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai.



Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM (NEC) wakipitia mada mbali mbali zilizoingizwa katika makbrasha waliyopewa katika kikao kilichofanyika jana katika ukumbi Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.


Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM (NEC) wakifahamishana jambo wakati wa kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya CCM (NEC) kilichofanyika jana katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.



Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM (NEC) wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinnduzi,pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, katika Kikao cha Kamati Maalum ya CCM (NEC) kilichofanyika jana katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.(P.T)




Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM (NEC) wakipitia mada mbali mbali zilizoingizwa katika makbrasha waliyopewa katika kikao kilichofanyika jana katika ukumbi Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinnduzi,pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,akiendesha kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya CCM (NEC) kilichofanyika jana, Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja, (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai.



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinnduzi,pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akizungumza na wajumbe wa kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya CCM (NEC) kilichofanyika jana, Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja, (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company