Jenerali Kayumba Nyamwasa aliye uhamishoni Afrika kusini.
Viongozi wa vyama vya upinzani Rwanda wanamlaumu Rais Paul Kagame kwa kifo cha mkuu wa zamani wa upelelezi ambaye inaelekea amekabwa kwenye hoteli moja Afrika Kusini.
Wachunguzi wanasema mkuu huyo wa zamani wa usalama Patrick Karegeya alikutwa amekufa katika hoteli moja ya hali ya juu huko Johanesburg.
Akizungumza na Sauti ya Amerika mkuu wa zamani wa jeshi la Rwanda Jenerali Kayumba Nyamwasa amesema kwamba mtu aliyemwita hotelini hapo walikuwa wakifahamiana na alikuwa rafiki yake alipokuwa Rwanda na ni mtu aliyemwamini.
Kusikiliza mahojiano na Nyamwasa bofya hapa.
TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
5 years ago