CHANZO ISSAHABARI
MTEMBEA KWA MIGUU ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA JOFREY MWIDINDA (28) MKAZI MBUYUNI AMEFARIKI DUNIA PAPO HAPO BAADA YA KUGONGWA NA GARI LENYE NAMBA ZA USAJILI IT 3818 AINA YA TOYOTA COROLA LILILOKUWA LIKIENDESHWANA FRANK NDEGA (30) MKAZI WA SINZA JIJINI DSM.
TUKIO HILO LIMETOKEA MNAMO TAREHE 30.04.2014 MAJIRA YA SAA 06:30 ASUBUHI HUKO KATIKA KIJIJI CHA MBUYUNI, KATA YA MAPOGORO, TARAFA YA RUJEWA, WILAYA YA MBARALI, MKOA WA MBEYA KATIKA BARABARA KUU YA MBEYA/IRINGA. CHANZO CHA AJALI NI MWENDO KASI, DEREVA AMEKAMATWA NA TARATIBU ZA KISHERIA ZINAENDELEA.
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHINA MSAIDIZI MWANDAMIZI WA POLISI AHMED Z. MSANGI ANATOA WITO KWA MADEREVA KUWA MAKINI WANAPOTUMIA VYOMBO VYA MOTO IKIWA NI PAMOJA NA KUZINGATIA SHERIA NA ALAMA ZA USALAMA BARABARANI ILI KUEPUKA AJALI ZINAZOWEZA KUEPUKIKA.