Kwa mujibu wa mtanndao wa habari wakimataifa wa nchini Ufaransa http://www.france24.com/ unaeleza kwamba nchi ya Urusi imeamua kumwaga jeshi lake katika eneo la masahariki mwa Nchi ya Ukraine ambalo kuna kikosi cha waasi wanaoiunga mkono nchi hiyo ya Urusi.
Hali hii inatajwa kuwa itaongeza uhasama zaidi kati ya Taifa hili na Ukraine na washirika zake nchi za Kimagharibi ikiwemo Marekani.
KWA HABARI ZAIDI ENDELEA KUTUTEMBELEA.
TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
5 years ago