Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Nape Nnuye akizungumza na waandishi wa habari ambapo alizungumzia ratiba ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana katika mikoa mitatu ,Kagera,Geita na Mwanza itakayoanza tarehe 4 June.
Waandishi wa habari wakimsikiliza Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye
Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akionyesha picha ya muonekano wa basi maalum litakalotumika kwenye ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa kuelekea mkoani Kagera.(VICTOR)
TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
5 years ago