Maelfu wamsindikiza Magufuli kuchukua fomu ya urais NEC

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dk. John Pombe Magufuli leo amechukua fomu ya kuwania urais kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

Maelfu ya wananchi wamejitokeza kumsindikiza kiongozi huyo aliyeanzia makao makuu madogo ya CCM Lumumba, Dar kuelekea ofisi za NEC.
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company