Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi na Mwenyekiti Mwenza wa Ukawa, James Mbatia akimpongeza mgombea ...
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi na Mwenyekiti Mwenza wa Ukawa, James Mbatia akimpongeza mgombea wa Ukawa, kuptia Chadema, Edward Lowassa.
Mgombea Urais Zanzibar akimpongea Mgombea Urais wa Muungano
Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akimpongeza Mgombea Urais wa Chama hicho ambaye ni Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa.
Wajumbe wa Mkutano huo Mkuu wa Chadema wakifurahia uteuzi wa mgombea Urais
Wajumbe wa Mkutano huo Mkuu wa Chadema wakifurahia uteuzi wa mgombea Urais
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe (wa nne kulia) akiwa ameshikana mikono na Mgombea wa Urais alieteuliwa na chama hicho, Mh. Edward Lowassa (wa tatu kulia) pamoja na Mgombea Mwenza wake, Mh. Dkt. Juma Haji Duni (mwenye suti nyeusi) pamoja na wanachama wapya wa Chama hicho, wakati wakitambulishwa kwenye Mkutano Mkuu wa Chama hicho, unaoendelea kufanyika hivi sasa kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City, Jijini Dar es Salaam.
Maalim Seif Sharif Hamad ambaye ni Katibu Mkuu wa CUF na Mgombea Urais wa CUF na Ukawa Zanzibar akiteta jambo na Mgombea Mwenza wa Chadema na Ukawa, Juma Duni (kushoto)
Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa akihutubia mkutano mkuu wa Chadema Jana.Kwa Picha Zaidi
TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
5 years ago