Kumezuka mgogoro kati ya wafugaji na askari wa wanyamapori katika hifadhi ya KAMISI iliyoko katika mpaka wa wilaya ya KARAGWE na BIHARAMULO na NGARA mkoani KAGERA
Kumezuka mgogoro kati ya wafugaji na askari wa wanyamapori katika hifadhi ya KAMISI iliyoko katika mpaka wa wilaya ya KARAGWE na BIHARAMULO na NGARA mkoani KAGERA.
Malalamiko hayo ambayo yamefikishwa kwa mkuu wa mkoa huo JOHN MONGELA wafugaji wamelalamika kwamba mifugo yao inakamatwa na kutozwa faini bila ya utaratibu maalum.
TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
5 years ago