Mkuu wa wilaya ya CHUNYA Mkoani Mbeya ELIAS TARIMO ametoa tahadhari kwa wananchi kuwa makini na viongozi wa siasa wanaotumia lugha za uchochezi wanapokuwa kwenye majukwa ya kampeni
Mkuu wa wilaya ya CHUNYA Mkoani Mbeya ELIAS TARIMO ametoa tahadhari kwa wananchi kuwa makini na viongozi wa siasa wanaotumia lugha za uchochezi wanapokuwa kwenye majukwa ya kampeni.
TARIMO ameyasema hayo katika kata ya SANGAMBI bsaada ya kuwatembelea wananchi na kuwataka mkuwa watulivu na kuhakikisha kwamba amani inadumishwa katika kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu.
Aidha TARIMO amewaasa wananchi kuwa makini na wagombea wanaoijinadi kwa lugha chafu, na kuhakikish kuwa wanachagua viongozi watakaolinda na kutunza amani ya TANZANIA
TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
5 years ago