WAKIMBIZI KUTOKA BURUNDI WAENDELEA KUWASILI KATIKA KAMBI YA NYARUGUSU ILIYOKO WILAYANI KASULU MKOANI KIGOMA

Mkimbizi kutoka Burundi, Philipo Nyandungulu, akishuka kutoka kwenye basi baada ya kuwasili katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu iliyoko Kasulu mkoani Kigoma. Idadi ya wakimbizi kutoka Burundi imekuwa ikiongezeka siku hadi siku na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi (UNHRC) imekuwa ikiwahifadhi kwa muda katika kambi hiyo.




Mkimbizi kutoka Burundi, Vanisi Nyandugulu akipanga vifaa vyake baada ya kuwasili katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu iliyoko wilayani Kasulu mkoani Kigoma jana. Wakimbizi kutoka Burundi wanaendela kuwasili nchini ambapo wanahifadhiwa katika kambi ya wakimizi ya Nyarugusu.







Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company