UKAWA WAFANYA MIKUTANO YA KAMPENI KATAVI VIJIJINI

Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mkanyageni, Zanzibar (CUF), Habib Mnyaa akihutubia mkutano wa kampeni za urais, ubunge na madiwani katika kijiji cha Katumba Wilaya ya Nsimbo, Mpanda mkoani Katavi. (Picha na Francis Dande)



Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Zanzibar, Said Issa Mahamed akihutubia mkutano wa kampeni za urais, ubunge na madiwani katika kijiji cha Katumba Wilaya ya Nsimbo, Mpanda mkoani Katavi.



Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Zanzibar, Said Issa Mohamed (kulia) akimtambulisha mgombea ubunge wa jimbo la Nsimbo, Gerald Kitabu ambaye ni mwandishi wa habari wa The Guardian Ltd wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Mnyaki, Mpanda mkoani Katavi.



Mgombea ubunge wa jimbo la Nsimbo, Gerald Kitabu ambaye ni mwandishi wa habari wa The Guardian Ltd akihutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Mnyaki, Mpanda mkoani Katavi
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company