Ndugu zangu,
Duniani kuna wanasiasa walioamsha hamasa za wengi kupenda siasa. Kwangu mimi, JK Nyerere na JF Kennedy ni miongoni mwa wanasiasa hao.
Novemba 22 ni miaka 50 tangu JF Kennedy auawe.
Novemba 2 , 1960 ndio siku ambayo John F Kennedy alichaguliwa kuwa Rais wa Marekani.
Alikuwa Rais wa 35 akiwa na miaka 43 tu, hivyo, Rais wa pili kijana kuliko wote katika Marekani. Ni rais wa kwanza wa Marekani kuzaliwa katika miaka ya 1900. Na Rais wa kwanza Mkatoliki kuliongoza taifa la Marekani. Ni baada ya siku elfu moja na thelathini na sita Ikulu ndipo alipouawa, Novemba 22, 1963. Na siku 5 baadae, nduguye, Bobby Kennedy, naye aliuawa. JF Kennedy ni simulizi ya kisiasa ya kusisimua...
Siku Njema.
Maggid.
Dar es Salaam.
www.hakileo.blogspot.com
TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
5 years ago