Gari aina ya Toyota Hilux lenye namba za usajili T697 BNB likiwa limehalibika vibaya kutokana na kugonga treni ya abiria kwa mbele iliyokuwa ikitokea mikoa ya kanda ya ziwa. barabara ya iringa Dodoma
Asikari wa usalama barabarani wakiandika maelezo kaza baada ya kuyakusanya kwa mashuhuda walioishuhudia ajali ya Gari Dogo aina ya Toyota Hilux lililogonga treni ya abiria kwenye injini ajili hiyo imetokea leo saa 11;30 katika barabara ya Dodoma Iringa.
Wananchi wa manispaa ya Dodoma wakilishangaa Gari lililogonga Treni likiwa limehalibika vibaya baada ya injini yake kuharibiwa vibaya na
huku Dereva akiwahishwa hospital akiwa hajitambui.
huku Dereva akiwahishwa hospital akiwa hajitambui.
Injini ya Gari hilo inavyoonekana.
asikari wa usala mabarabarani akiwa karibu na Gari hilo baada ya kuondolewa toka kwenye gema lililoinusuru isitumbukie chini ya Daraja
ilipotokea ajali hiyo.
ilipotokea ajali hiyo.
Sehemu ya Barabara hiyo inavyoonekana huku ikiwa haina alama yoyote ya tahadhari
PICHA NA JOHN BANDA