Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Qin Gang amesema, China italeta mjumbe maalumu kuhudhuria maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Chen Changzhi, naibu spika wa Bunge la umma la China, atamwakilisha rais Xi Jingping wa China kwenye sherehe hiyo ambayo itafanyika jumamosi wiki hii.
TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
5 years ago