Bentaleb, amepandishwa kikosi cha kwanza Spurs baada ya Tim Sherwood kuchukua mikoba ya ukocha mwanzoni mea mwaka huu, na aliichezea kwa mara ya kwanza timu hiyo mwzi Machi baada ya kuikataa Ufaransa.

Kivutio: Kiungo wa Spurs, Nabil Bentaleb ameitwa kikosi cha Kombe la Dunia
Kocha Vahid Halilhodzic amestaajabisha wengi kwa kumuita mchezaji ambaye hajawahi kuichezea timu hiyo, mzaliwa wa Ufaransa, Mahrez baada ya kuisaidia Leicester City kurejea Ligi Kuu ya England na amemrudisha mshambuliaji Rafik Djebbour, baada ya kuhamia Nottingham Forest mwezi Januari.
Algeria imepangwa Kundi H pamoja Ubelgiji, Urusi na Korea Kusini.
KIKODI KAMILI HIKI HAPA;
Makipa: Azzedine Doukha (USM El Harrach), Rais Mbolhi (CSKA Sofia), Cedric Si Mohamed (CS Constantine), Mohamed Lamine Zemmamouche (USM Alger)
Mabeki: Essaid Belkalem (Watford), Madjid Bougherra (Al Lekhwiya), Liassine Cadamuro (Mallorca), Faouzi Ghoulam (Naples), Rafik Halliche (Academica Coimbra), Nacereddine Khoualed (USM Alger), Aissa Mandi (Stade Reims), Carl Medjani (Valenciennes), Djamel Mesbah (Livorno), Mehdi Mostefa (Ajaccio)
Midfielders: Nabil Bentaleb (Tottenham Hotspur), Ryad Boudebouz (Bastia), Yacine Brahimi (Granada), Abdelmoumene Djabou (Club Africain), Sofiane Feghouli (Valencia), Adlene Guedioura (Crystal Palace), Foued Kadir (Stade Rennes), Amir Karaoui (Entente Setif), Mehdi Lacen (Getafe), Riyad Mahrez (Leicester City), Saphir Taider (Inter Milan), Hassan Yebda (Udinese)
Washambuliaji: Rafik Djebbour (Nottingham Forest), Nabil Ghilas (Porto), Islam Slimani (Sporting), El Arabi Soudani (Dinamo Zagreb).
