Spika wa bunge Anna Makinda jana usiku alikuja juu wakati Mbowe akianza kutangaza baraza la mawaziri vivuli, spika alikuja juu baada ya Mbowe kutumia jina UKAWA wakati akitangaza baraza hilo la mawaziri, Makinda alisema UKAWA hautambuliki katika bunge hilo.
1.Ofisi ya rais utawala bora=Pro.kulikoyela Kahigi CHADEMA
2.Ofisi ya rais menejimenti=vicent nyerere CHADEMA
3.Ofisi ya rais mahusiano na uratibu=Esther matiko CHADEMA.
4.Ofisi ya makamu wa rais mazingira=mch.Israel Natse CHADEMA
na Asaa Othman Hamad CUF
5.Ofisi ya waziri mkuu uwezeshwaji na uwekezaji=Pauline Gekul CHADEMA
6.OFISI YA WAZIRI MKUU SERA na uratibu=Rajabu Mohamed Mbarouk CUF
7.Ofisi ya waziri mkuu TAMISEM=David Silinde CHADEMA
8.wizra ya chakula na kilimo=Meshack Opulukwa CHADEMA
9.WIZARA ya nishati na madini=John Mnyika CHADEMA
10.WIZARA YA FEDHA NA UCHUMI=James Mbatia=NCCR MAGEUZI
11.Wizara ya nje =Ezekia Wenje CHADEMA Haroub Mohamed CUF
12.KATIBA na sheria=Tundu Lisu CHADEMA Rashid Abdal CUF
13.Wizara ya ujenzi=Felix Mkosamali NCCR MAGEUZI
14.WIZARA ya maji=Magdarena Sakaya CUF
15.Wizara ya uchukuzi=Moses Machali NCCR MAGEUZI
16.Wizara ya mambo ya ndani=Godbless Lema CHADEMA Khatibu Said Haji CUF
17.wizara ya ardhi nyumba na maendeleo=Halima Mdee CHADEMA
18.wizara ya mifugo na uvuvi=Rose Kamili CHADEMA Mkiwa Adam Kiwanga CUF.
19.MALIASILI NA UTALII= Peter Msigwa CHADEMA
20.Ushirikiano Africa Mashariki=Joseph Selasini CHADEMA Rikia Ahmed Kassim CUF
21.ULINZI na kujenga taifa=Masoud Abdallah CUF
22.ELIMU NA mafunzo=Suzan Lyimo CHADEMA Joshua Nassari CHADEMA
23.AFYA na ustawi wa jamii=Gervas Mbasa CHADEMA
24.WIZARA viwanda biashara masoko=David Kafulila NCCR MAGEUZI
25.MAWASILANO sayansi=ENG; Habibu Mnyaa CUF Lucy Owenya CHADEMA
26.JAMII AJINSIA NA WATOTO=Baruan Salum Khalfan CUF Sabreen Sungura
CHADEMA
27.Kazi na ajira=Cesilia Paresso CHADEMA
28.WIZARA HABARI VIJANA NA MICHEZO=Joseph Mbilinyi [Sugu] CHADEMA
KIKOSI CHINI YA FREEMAN MBOWE KIONGOZI WA KAMBI RASMI BUNGENI NA MWENYEKITI WA UKAWA