Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta (aliyesimama) akifungua Mkutano wa wafanyakazi wa Wizara hiyo mapema jana jijini Dar es Salaam, kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya hiyo Dkt. Shaaban Mwinjaka na kulia ni Katibu wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara hiyo Bwana Hassan Mabula.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaaban Mwinjaka akimshukuru Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta mara baada ya kufungua rasmi mkutano wa wafanyakazi wa wizara hiyo na taasisi zilizo chini yaka.
Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya hiyo Dkt. Shaaban Mwinjaka mapema jana jijini Dar es Salaam wakati wa Mkutano wa wafanyakazi wa Wizara hiyo.
Baadhi ya watumishi wa Wizara na Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Uchukuzi wakiwa katika mkutano wa wafanyakazi uliofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Waziri wa uchukuzi Mh,Samuel Sitta akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Wizara ya Uchukuzi na Taasisi zilizo chini ya wizara hiyo mapema jana jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa wafanyakazi. Picha na Eliphace Marwa – MAELEZO.
TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
5 years ago