Askof Tutu arejeshwa hospitali
Askofu Desmond Tutu na mshindi wa nishani ya Nobel amerejeshwa tena Hospitali kwa matibabu zaidi.
Tutu wiki iliyopita aliruhusiwa kurejea nyumbani baada ya afya yake kuonekana kuimarika ndani ya siku saba za matibabu.
Hata hivyo kwa sasa Askofu tutu yupo katika uangalizi wa madakatari wanaendelea kutibu maradhi yake.
Kwa mara ya kwanza Askofu Tutu mwenye umri wa miaka 83 ambaye pia amebainika kuwa na maradhi ya saratan. kwa mjibu wa mwanaye wa kike Mpho Tutu,ni kwamba anatarajiwa kusalia hospitalin hapo hadi wiki ijayo.
TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
5 years ago