Mh. Leticia Nyerere (katikati) akiwa na watoto wake Julia Nyerere (kulia) na Helena Nyerere (kushoto) wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia kwa karibu tukio hilo.
Mh. Leticia akikazia jambo.
Aliyekuwa Mbunge wa viti maalum kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Leticia Nyerere ametangaza kuCihama rasmi chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza mapema hii leo katika Mkutano uliofanyika na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar, Leticia alisema kuwa, ameamua kurudi CCM kwani ndicho chama kilichomzaa, kumlea na kumkuza. Leticia ameongeza kuwa kwa sasa hawezi kuzungumzia kuhusu kugombea tena kiti hicho.
TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
5 years ago