Mbunge mtarajiwa wa jimbo la Rombo Oscar Samba keshokutwa anatarajia kutangaza hatima yake kisiasa.
Hali hiyo inakuja mara baada ya kumalima mapunziko yake yaliyotokana na yeye kufunga ndo namo julai mwaka huu na ilitarajiwa kuwa angegombea kwa tiketi ya CHADEMA lakini Chama hicho tayari kilishafanya uchaguzi wake na kumteua tena J.Theladhini katika jimbo hlo.
Hatua ya Bwana SAMBA inasubiriwa na wengi kwani kjana huyu kwa muda mrefu amekuwa akifanya harakati zake za kisiasa nje ya vyama ama mfumo wa vyama vya sisasa nchini.
Taarifa hiyo imeitoa leo kwenye mando wake wa kijamii wa FB.