watoto nchWatoto mjini Abidjan, Ivory Coast, walivalia kupendeza wakimsubiri mkuu wa shirika la fedha duniani, Christine Lagarde. Katika ziara yake nchini humo, alisema kuwa uchumi wa nchi inayozalisha kakao kwa ukubwa duniani unaimarika hasa baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyomalizika mwezi aprili mwaka juzi |
TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
5 years ago