WANAHABRI MBEA WAHEREKEA MWAKA MPYA KWA KUSAKATA RUMBA

NA Oscar Samba

HAPA KAMANDA WA POLISI MKOA MBEYA DIWANI WAKIPONGEZANA NA NA MDAU WAHABARI MWAIGAGA KATIKA SHERHE YA KUAGA MWAKA 2012 NA KUUKARIBISHA 2013 SHEREHE HIYO ILIFANYIKA KATIKA UKUMBI WA MTENDA JIJINI MBEYA

JOSEPH MWAISANGO MWANDISHI WA MBEYA YETU HAKUWA NYUMA KATIKA KUPONGEZANA KATIKA SHEREHE HIYO
KAMANDA WA TAKUKURU MKOA WA MBEYA DANIEL MTUKA AKIWASHUKURU WANAHABARI KWA USHIRIKIANO ULIOPO KATI YA WANAHABARI NA TAKUKURU KWAMBA USHIRIKIANO HUO UENDELEE KUDUMISHWA 

MWENYEKITI WA USALAMA BARABARANI MKOA WA MBEYA MWAIGAGA AKIWASHUKURU WANAHABARI

KAMANDA DIWANI AKIFUNGUA MUZIKI KATIKA SHEREHE HIYO

TWENDE MDOGO MDOGO

MKURUGENZI WA UTPC ABUBAKAR KASAN AKIONYESHA UMAHILIWAKE WA KUSAKATA RUMBA

Add caption
Add caption
KAMA KAWAIDA YA MZEE WETU MWASUMBI HUPENDA UTANI


MZEE WETU NJAVIKE KATULIA TULI AKIANGALIA VIJANA WAKE WAKISAKATA RUMBA


MGENI RASMI KAMANDA WA POLISI  MKOA WA MBEYA DIWANI AKIONGEA NA WADAU WA HABARI NA WANAHABARI WA MBEYA KATIKA SHEREHE YA KUUAGA MWAKA 2012 N KUUKARIBISHA 2013
MWENYEKITI WA KAMATI NZITO YA SHERAKIMKA RIBISHAEHE HII PATRICK KOSIMA  AKIMKARIBISHA MGENI RASMI
TUNASEMA IMEJIBU SHEREHE IMEFUNGULIWA MC WETU CHALES MWAKIPESILE AKIFANYA VITU VYAKE
HII NDIYO KAMATI KUU YA MAANDALIZI YA SHEREHE HII

RUMBA LIMEANZA SASA

INAPENDEZA SANA

Add caption
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company